Waziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya 3 barani Afrika na ya 28 duniani kwa matumizi bora ya fedha za Umma

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,928
141,892
Waziri wa Utumishi na Utawala bora captain George Huruma Mkuchika amesema Tanzania ni nchi ya 3 barani Afrika na ya 28 duniani kwa matumizi bora ya fedha za serikali.

Waziri Mkuchika amesema hiyo ni kwa mujibu wa jarida la World economic forum na kwamba Tanzania imetanguliwa na Rwanda na Lesotho.

Source Upendo tv!

Maendeleo hayana vyama!
 
Uongo ni chakula chao cha usiku na mchana.

Kijana wa TANU
 
Eti kukimbiza mwenge nako zinatumika pesa za umma, sikujua hili nalo ni hitaji la wanyonge.
Mbona giza haliishi?!
Wanao ukumbiza ni uvcc na sasa kuna watu kutoka jumuiya ya wazee ccm, wanauita mwenge wa uhuru. Hahaha.
Matumizi bora ya pesa za wadanganyija.
 
sawa mzee wetu mzalendo wa kweli uliyepigana vita ya kagera, mimi binafsi nakuona wewe, mahiga, mpango, ndalichako, mwinyi, VP, na PM Majaliwa kama watu pekee wazima kwenye serikali iliyojaa mihemko na mambo ya hovyo.
 
Ujenzi wa chato na ununuzi wa ndege + wapinzani nayo pia yapo kwenye matumizi bora hee??

Porojo + propaganda = upumbavu.
 
sawa mzee wetu mzalendo wa kweli uliyepigana vita ya kagera, mimi binafsi nakuona wewe, mahiga, mpango, ndalichako, mwinyi, VP, na PM Majaliwa kama watu pekee wazima kwenye serikali iliyojaa mihemko na mambo ya hovyo.
Lukuvi hayumo? Jaffo je? Kigwangala? Prof Kabudi?
 
hii ni pamoja na ununuzi wa ndege bajeti ikipitishwa na ikulu ama vipi?

au ni ile hatua ya kujitoa katika utaratibu wa kuendesha serikali kwa uwazi na sasa kujiendesha gizani ndoo kumepelekea kuwa watu wa tatu??

au ni kununua korosho kisha kuzitunza bila kujua nani kauziwa, leo msemaji wa serikali anasema zimeuzwa kesho rais anagawa bure na kuuza kidogo ndoo matumiz sahihi ya pesa za umma??

Bado sijajua vigezo vya kupewa nafasi hiyo! Kama ni kukamata wahujumu kisha hela zao kuzipeleka moja kwa moja kujenga barabara ama hospital bila kupitia bungeni basi sawa nitakua nimewaelewa watoa takwimu!!!!
 
Lukuvi hayumo? Jaffo je? Kigwangala? Prof Kabudi?

Usiunganishe watu wa maana na vikalagosi! Yaan PM Majaliwa unamuunganisha ni mze wa Jalalani kweli? Umeenda mbali ukamuunganisha ni Kigwangala?? Angekua waziri Mkuu nadhani tulio na mawazo kinzani tungekua nusu tushauwawa! Maana yeye kuuua mtu haoni shida na ana hamu kweli kweli.

Aliwatangazia wavuvi kaenda kwa majangili! Yaan roho ya mtu anaona si kitu kulinganisha na wanyama. Tafadhali PM
 
Waziri wa Utumishi na Utawala bora captain George Huruma Mkuchika amesema Tanzania ni nchi ya 3 barani Afrika na ya 28 duniani kwa matumizi bora ya fedha za serikali.

Waziri Mkuchika amesema hiyo ni kwa mujibu wa jarida la World economic forum na kwamba Tanzania imetanguliwa na Rwanda na Lesotho.

Source Upendo tv!

Maendeleo hayana vyama!
Shit hole kantre
 
Back
Top Bottom