Waziri Mchengerwa aungana na Mhe. Rais Samia na Watanzania wote kwenye Kusheherekea miaka 57 ya Muungano wa Tanzania

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
879
956
Menejimenti na watumishi wote wanaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Hussein Mwinyi na Watanzania wote katika kusheherekea miaka 57 ya Muungano wa Tanzania.Muungano wetu ni msingi imara wa mapinduzi ya kiuchumi,Tudumishe muungano wetu" Waziri wa nchi ,ofisi ya Rais Mhe.Mchengerwa
IMG_20210425_211621_105.jpg
 
Huyu ni mkwe wake hivyo hakuna ubaya kuungana nae maana ndio kidume anayemshughulikia binti ya mama hivyo hakuna mbaya acha waendelee kula maisha kwa kutupiga changa la macho!

Nepotism at its highest peak !
 
Back
Top Bottom