marveljt
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,503
- 1,479
Katika baraza la mawaziri mbarawa pekee ndiye ambaye hataweza kuguswa wala kukaripiwa. Nasema hivi kwa sababu, yeye huwa hatoi matamko hivyo hataweza kusahihishwa na mkuu kama kina makiembe. Matamko yote ya wizara yake mkuu ndiye hutoa. Fedha zote za mitadi mkuu ndiye anayeidhinisha. Ufunguzi mkuu ndiye anayezindua.
Yaani kila kitu kinachohusiana na wizara mkuu ndiye yuko front line.
Mfano:-
1. Kiwanja cha ndege Chato
2. Upanuzi wa barabara ya Moroco
3. Hostel
4. Flyover Ubungo, TAZARA
5. Atc
6........
Wakati hayo yakifanyika cag analalamika ukata wa fedha. Je, atawezaji kukagua bajeti ya wizara ya mbarawa na kutoa majibu wakati mkuu wake wa kazi ndiye mkurugenzi, mhasibu, plan manager n. k
" mimi sipangiwi cha kufanya"
Kwa hali hiyo utamtumbuaje mtu huyu