voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
Punde tu baada ya kuingia,uliivunja bodi iliyokuwepo "Tanesco" na Ukaunda yako ya "Tan-Escrow"
25/Sep/2021.
Baadhi ya tambo zenu zilikuwa hizi.
"Tunataka baada ya miaka mitatu Shirika liingie katika orodha ya mashirika bora, yenye thamani na yanayoheshimika Afrika" alisema Mhe. January Makamba"
"Naye Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO, Bw. Omari Issa, amesema atahakikisha Bodi inafanya kazi na kutimiza malengo yake kwa kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa malengo na uwajibikaji."
"Nimhakikishie Mhe. Waziri tutahakikisha tunarudisha heshima ya Shirika na ufanisi kupitia ushirikiano wenu, hakuna Shirika lolote linalotoa huduma ya umeme zaidi yetu sisi, yamkini tuwape wateja wetu huduma wanayostahili", " alisema Bw. Maharage Chande"
Na wajumbe uliowateua ni hawa.
"Taarifa kwa umma ya leo Jumamosi Septemba 25, 2021 iliyotolewa na Waziri imewataja wajumbe hao ni Nehemia Mchechu, Zawadia Nanyaro, Lawrence Mafuru, Eng Cosmas Masawe, Abubakar Bakhresa, Eng. Abdallah Hashim, Balozi Mwanaidi Maajar, Christopher Mwita Gachuma."
Ebu tufananishe na wajumbe waliokuwepo awali,kabla ya Makamba!
"Balozi Dk James Nzagi (alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO iliyomaliza muda wake) na Dkt. John Kihamba (Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Saam - DUCE).
Wengine ni Dk Lugano Wilson (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uhandisi na Mkuu wa Teknolojia za Nishati - TIRDO), John Kulwa (Mkuu wa Idara ya Ukaguzi Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya na Sayansi Shirikishi - MUHAS) na Denis Munumbu (Mchunguzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - TAKUKURU).
Wengine ni Dk Gemma Modu (Mkurugenzi NACTE), Mathew Kirama (Mkurugenzi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma) na Gilay Shamika (Mjumbe katika bodi iliyopita)"
Halafu tujiulize Rasmi
#Makamba Na Bodi yako ya Kubumba,yenye wajumbe wenye kutia shaka,kuanzia "kitaaluma" mpaka "kimaadili."
Mnakotupeleka ni wapi?
Mnachotufanyia wananchi ni kwa maslahi yenu au yetu?
Dalili zenu kushindwa kazi ziko wazi kabisaaaa!
Mnasubiri nini hapo Maofisini?
Alamsikhi!