Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,986
Alimsapoti mgombea wetu wa urais ndugu lowasa..usimsemeHuyo Jamaa alikuwa polisi, aliwahi kushitakiwa kwa kupokea rushwa, hafai kabisa kuaminiwa walafi kusikilizwa
TAKUKURU yakamilisha upelelezi kesi ya rushwa ya Mbunge Kangi Lugola na wenzakeHuyo Jamaa alikuwa polisi, aliwahi kushitakiwa kwa kupokea rushwa, hafai kabisa kuaminiwa walafi kusikilizwa
uliona na kusikia nature ya swali na alivyojibu?Kisa kumtaja Haji Manara.Kuna mizaha mingi sana inafanyika bungeni siyo leo tu . Na wakati mwingine hata spika hufanya mzaha.Au kwa kuwa leo ni Simba ?
Kisa kumtaja Haji Manara.Kuna mizaha mingi sana inafanyika bungeni siyo leo tu . Na wakati mwingine hata spika hufanya mzaha.Au kwa kuwa leo ni Simba ?
hivi sifa za kuwa wazir ni kuwa kama lugola? huyu aliingia na kofia wakati wenzake wanajadil escrow yeye anafanya mzaha. kaonwa kawa wazir bado analeta mzaha. mlinga alileta mzaha kwa mnyika. yani watu/ mnyika anauliza mambo ya msingi yye dogo anaomba mwongozo juu ya mavazi. wakati mwingine unajiuliza na kuhisi labda mtu huelewi vizuri . kwamba na mlinga nae ni graduate? ghhhhhKajibu kimzaha sana maswali ya wabunge!
kama kitwanga aliondolewa kwa kujibu swali akiwa na kilevi. kama kweli ilikuwa sababu? huyu hastahili kuwepo ofisini hata kwa dk moja badae.Hayuko serious huyo
Ova
Sara hivi anamlimoti Nkangaa kuongea muda wa jiwe kwa miaka 7 akazawadiwa uwaziriAlimsapoti mgombea wetu wa urais ndugu lowasa..usimseme
Hakuna kesi. Wale wabunge walibambikiwa kesi kwa kukataa hoja ya petroli kutowekewa vinasaba.
Myonge mnyongeni lkn haki yske mpeni. Naibu eaziri alisema ametoa sgizo kwa halmashauri kuwa wavamizi waondolewe. Kuhusu simba na yanga hata spika Ndugai alikwishafanya utani bungeni kwa hiyo utani usio na madhara ruksa.Kajibu kimzaha sana maswali ya wabunge!