Waziri Jafo: Ripoti ya Kariakoo kuhusu wawekezaji wageni 'kuna mashaka ya rushwa', wanasaidiwa na watu kwenye mfumo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amesema kuwa tafiti zilizofanywa zimebaini uwepo wa mashaka ya rushwa, hali inayosababishwa na baadhi ya watendaji wasiowaaminifu.

Akizungumza kupitia Clouds FM kuhusu suala la Wawekezaji wa Kigeni nchini, Dkt. Jafo alieleza kuwa

"Kwa mujibu wa tafiti yetu ambayo kazi iliyokwenda kufanyika ilionekana kuna hali wakati mwingine hasa, watu wetu wamezungumza kwamba kuna mashaka ya rushwa. Inaonekana baadhi ya watendaji si waaminifu ambao wanasababisha hiyo hali imefikia hapo"

Your browser is not able to display this video.
Soma, Pia: Waziri Suleiman Jafo aiagiza idara ya uhamiaji kuanza mara moja operesheni maalum ya kuwaondoa wafanyabiashara haramu wa kigeni Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…