Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..
Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.
She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.
Huyo hata hakuna haja ya kuuliza mara mbili....
alikufa toka wiki jana?Tangu wiki iliyopita taarifa ya kifo chake zilisikika, rip mama, nakumbuka mara ya mwisho tulikuwa wote kwenye kikao mwezi wa 7 kisikiliza kero zetu
RIP... Mama
Mungu akuweke upande unaostahili..
Tabia za kuita wenzenu wagonjwa..
Ooh ikulu siyo hospitali ,si kauli nzuri.