Waziri Aweso unajiharibia CV yako nzuri

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,864
Hakuna waziri nilikuwa namkubali kama aweso
Ila kwa sasa amenishangaza Sana hivi unawezaje kumnyima mtu maji zaidi ya week mbili,tatu au nne
Waziri kweli unapokea mshahara
Ofsini mnaenda kabisa nyie dawasa

Jamani kama kwako kuna maji naomba location nihamie Kwa muda .this is too much
Hakuna anaejali wala kuwajibika yaani maisha yanaendelea kama hakuna kitu vile
Pls guys
 
Una matatizo makubwa na wala tatizo siyo huyo waziri. Kama uliwahi ''kumkubali'' mtu kama huyu basi wewe ndiyo tatizo. Slow learner? Nyumbu's mind? Kwa kifupi una tatizo.
 
Hana jipya huyu, lbd kuongeza wake..
 
Kwani ulilazimishwa kukaa / kupanga hapo ulipo? Si uhame tu?
 
Tatizo hapo sio Aweso, tatizo ni wewe kumkubali mtu kama yeye.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali viongozi kama aweso
 
Kimara kwa sasa kuna blanket punishment. Ila wizara imesahau kwamba maji yaendayo mjini yanapitia Mbezi/Kimara/Ubungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…