Preta kimsingi nakubali kuna swala la excuses. Issue hapa ni kwamba tuna policies zinazopashwa kulinda na kutengeneza ajira kwa watz kwa kada fulani.Kauli ya kiongozi wa juu inaua nguvu ya watu wa idara za chini ku-enforce sheria husika. Ni kwamba PM anazifanya hizo polisi kuwa irrelevant.Watanzania wanatoa excuse.....mara mtoto anaharisha.....nimefiwa n.k.......dah
I am sorry to say this...Kwa kweli ndani ya moyo naamini kuwa the last time we hand as serious premier ilikuwa ni Hayati Sokoine..
Hivi Pinda kama waziri mkuu wa nchi anawezaje ku-sanction kauli kwamba watanzania hawapati fursa za ajira kwa sababu ya kuwa na excuses. After all kila nchi ina social cultural yake.
Hivi WM anapaswa kusimamia policy na sheria za nchi au feelinga za wawekezaji? SHAME
Watanzania wanatoa excuse.....mara mtoto anaharisha.....nimefiwa n.k.......dah
Watanzania wanatoa excuse.....mara mtoto anaharisha.....nimefiwa n.k.......dah
Mwita nimekupata...kwa kweli Pinda na wanzake waufahamishe umma wa Tanzania kwanini serikalini hawaajiri watu toka nje wasio na excuse ili tupate umeme wa uhakika?
You are right! Na zote hizo ni posho.Hawahitaji kuajiri watu toka nje, wafanyakazi are well taken care of by the governement,Serikalini kuna bajeti ya chai ya mabilioni, wakiishiwa wanaenda shimiwi kufukuza kuku, kucheza karata na kuvutana kamba, ikifika pasaka ofisi za bara na visiwani zinatembeleana kimichezo, mwezi wa sita mko mnazi mmoja maonyesho ya utumishi wa uma (2 weeks), sabasaba maonyesho another two weeks nanenane maonyesho another two weeks utatoa excuse ya nini, labda uwe mwehu!!!!!
Hii hotuba ya mkuu niliisikia alhamis kwenye maswali ya papo kwa hapo kwa WM bungeni......nilichoka sana....sasa kama uongozi wa juu kiasi hiki ndio unatamka maneno kama haya......Watanzania tumlilie nani?.....
Nami nilisikia, nilishituka sana.
Kama hiyo ni statement ya serikali , kwa mantiki hiyo waziri anayetoa work permit anaweza kuchukulia hiyo kama sababu ya kukubali work permits zote za wageni.
Nangojea na kuomba siku moja Cameroon aseme waingereza ni walevi ndio maana kazi tunawapa wapakistan na wahindi.
Hii hotuba ya mkuu niliisikia alhamis kwenye maswali ya papo kwa hapo kwa WM bungeni......nilichoka sana....sasa kama uongozi wa juu kiasi hiki ndio unatamka maneno kama haya......Watanzania tumlilie nani?.....
Preta, hivi Watanzania hao wakilipwa vizuri kama watu wa nje unadhani excuses zitakuwepo? Kwa mtazamo wangu wafanyakazi wengi wako demolorised ndo maana hawafanyi kazi seriously.
Mfano wa karibu kabisa chukulia mfano Ufanisi wa Kazi ulivyo ofisi ya PM ni tofauti kabisa na ufanisi wa mwalimu anayefundisha shule ya Sekondari Ulyampiti. Ufanisi wa mfanyakazi wa ikulu hauwezi kuwa sawa na tabibu wa zahanati ya mpitimbi. Ofisi hizo kubwa zina mishahara mizuri na marupurupu kibao mfanyakazi gani wa ofisi hizo atatoa excuse.
Tuwe realistic angalau for once
Hata kama amechoka kiasi gani kuwaongoza waingereza hawezi kuthubutu kuzungumza utumbo kama huo.