donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hahahah, kwann?hahahahah aka vigondi !sili ht kwa dawa
[emoji3] [emoji3] [emoji1]Hamna ugali au ni mashindano ya kukomba mboga
Hii mkuu ni mwendo wa tonge nyama tiIko poa sana hiyo kwa matumizi
siwez tu !sijui nahisjeHahahah, kwann?
Ndio chiefMzee wa masherehe,maakuli bana!
HatariMauwaji ya halaiki.