Wazee wa Mathematics

wadau nainjoy sana. Nisaidien na hili. Proove that the distance of a whole secant and a part of it outside th circle is equal to the squared distance of a tangent from the point of contact with a circle to the point outside where it meets with a secant
 
Haikua kupotezeana muda, kila hesabu ina umuhimu wake sehemu na ukiona hujaona umuhimu wake labda haupo kwenye career ambayo inainvolve hesabu hizo. Mfano umbo kama hilo ni simple lakini GPA unazotumia kufika sehemu mbalimbali, apps kama google maps, zinatumia principles ambazo zinakua derived from maumbo kama haya. Inaweza onekana ni kitu simple ila ni cha muhimu mno.
 
Me nimesahau kama nyiny ila wote mna logic, "SQUARE ROOT OF ANY NUMBER SQUARE IS PLUS OR MINUS" this is a rules
 
Hiyo ni kama simitanius equation X²+5=54 and
X+15y=127 njia 54-5=49
X=√49=7 kwa hiyo X ni 7 jibu unatafuta y"
(X=7)+15y=127
7+15y=127
127-7=15y
120=15y
y=120÷15
y=8 jibu
hesabu kweli nguumu naonaa maluwe luwe
 

tupatie choro tuone unamaanisha nini hasa, maana inaweza kuwa na tafsiri tofauti tofauti,
 
Kuchora jf wanachora vipi?


But jarbu kujoint point za tangent na secant ili upate triangle nzima mpk outside

Then
Tengeneza right angel triangel ...

Distance from the tangent inapo meet na circle mpk sehem ya intersection
Let d

Distance ya secant inside ya circle
Let =a
Outside mpk sehem ya intersection na tangent
Let b
Fanya Pythagoras theorem


Ah ah ah ah
Mkuu sina uhakika jaribu hivyo nlikuwa nafanya kichwan nipp ndan ya gar safarini

Longtym sana haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…