Mbona inalazmisha kuregister alaf ukijarbu inakataa??Thnx mkuu inafanya kazi
Some times u don't have to download the whole program, kuna moja iko hivi;wakuu me naomba msaada wa kujua ni APP nzuri ya kupakulia movie kupitia pc...ambayo naweza kuidownload kwenye pc...
YouTube huwa hawaweki movies mkuuSome times u don't have to download the whole program, kuna moja iko hivi;
Fungua webpage yako, kama no Google au else af type ktk search bar yako " www.savefrom.net" itafunguka hiyo page...iache pembeni, tafuta search bar ingine fungua You tube page, tafuta movie unayoitaka, ikifunguka, itakuwa imeweka link flani ktk search bar, eg;ingineyo, ikopi hiyo link,
Fungua ile page ya "savefrom.net.." ipest ile link ya muvi ktk searchbar ya savefrom.net...
Itaitafuta hiyo movie ktk intanet na kuifungua icon yake, na itakupa option ya kuidownload upande wa kulia.
Uta click download,
Sometimes itakuuliza sehem ya kuisave, ambapo utaitafuta manually, au itai download direct ktk downloads folder ya pc yako.
Jaribu hivo, utainjoi
Movies zipo youtube, isipokuwa kuna movie za 720p na 360p. Umakini wa kuangalia kabla ya kushusha unahitajikaYouTube huwa hawaweki movies mkuu
Exactly, mara nyingi zinazowekwa ktk mfumo wa Mp4 zinasoma MB chache kuliko zilizo ktk Mp3,Movies zipo youtube, isipokuwa kuna movie za 720p na 360p. Umakini wa kuangalia kabla ya kushusha unahitajika
move ikiwa ktk mp3 hiyo haiwezi kuwa video itakuwa audio jombaExactly, mara nyingi zinazowekwa ktk mfumo wa Mp4 zinasoma MB chache kuliko zilizo ktk Mp3,
So icheki roughly kama imemaliza yote kabla hujaipakua.
Mp3 sio movies ni Audio mzee babaExactly, mara nyingi zinazowekwa ktk mfumo wa Mp4 zinasoma MB chache kuliko zilizo ktk Mp3,
So icheki roughly kama imemaliza yote kabla hujaipakua.