Wazee wa comeback

Halafu vant yenyewe unafyonza kidogo sana unasukumia mate mengi tatizo watu wanakunywa vant kama maji ndio zinawaaibisha na wakati unafyonza pembeni pana maji lita mbili unapiga mdogo mdogo huwezi kulewa kabisa
wakali wa kazi hizo nimewaachia vant haishuki hata kidogo[emoji23][emoji23]
 
Kabisa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] R Chuga bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…