lizzy partner kwa maneno uandikayo kuhusu wandoa na wazazi, it makes me wonder why my partner is so scared ku-commit na hali naamini una enough constructive knowledge kuliko hata waliomo kwenye ndoa tayari... Nimeipenda thread yako, na naamini kwa wanaume/wanawake wenye watoto na wasio na watoto itawafaa wakizingaitia...
Najipanga dear....
Binafsi naamini mwanaume akikataa kuchezewa na mzazi mwenza basi haitatokea...hivyo basi nawashauri muwe mnawapa wale mlio nao kipaumbele.Kama akiashiria kua kuna matatizo yanayosababishwa na mzazi mwenzio hakikisha tu haitokani na chuki kisha yafanyie kazi.Usikubali kuharibiwa ndoa/mahusiano yako kwa kisingizio cha watoto ambao hata hawahusiki.Usikubali kutumiwa wala kuchezewa....mahitaji mengine ya mtoto nunua mwenyewe usije ukageuzwa kitega uchumi.Kwa wamama ukijikuta kwenye situation kama hii jitahidi kua mvumilivu na mshauri wa mwenzio...pia jitahidi matatizo yatakayosababishwa na mama mtu yasizae chuki kwa mtoto!!
Usiku mwema kwa mnaojiandaa kulala...jioni njema kwa mnaomalizia malizia siku na siku njema mnaoianza!Poleni kwa thread ndefu!
you are in a serious business Asha......she is still young....very wise though!!Lizzy partner kwa maneno uandikayo kuhusu wandoa na wazazi, it makes me wonder why my partner is so scared ku-commit na hali naamini una enough constructive knowledge kuliko hata waliomo kwenye ndoa tayari... Nimeipenda thread yako, na naamini kwa wanaume/wanawake wenye watoto na wasio na watoto itawafaa wakizingaitia...
Najipanga dear....
asha d
najitahidi mno kujifanya sikuoni but
somehow una catch my attention....
I mean hiyo sinature yako hapo chini.......
Mario puzo na don corleone ahhh..
I cant find enough words to say....
you are in a serious business Asha......she is still young....very wise though!!
i can understand you not having enough words...that guy was a genius...
I never get tired of reading the last don and the forth kennedy
and watching god father esp no. 1... Marvelous...
haishi kuni impress... I wish once she settles may it be her best experience ever...
ha ha ha haaaaaaaaaa.....marriage responsibilities will change my Lizzy, and i do not want her to change, she might be busy and frustrated!!Haishi kuni impress... I wish once she settles may it be her best experience ever...
Kila mtoto alelewe na mama yake kama huyo mama yupo hai.....
Mtoto aende kwa mama wa kambo akiwa na umri zaidi ya miaka 15.....
very very few women
loves the godfather and mario puzo...
Keep it up...
Lizzy partner kwa maneno uandikayo kuhusu wandoa na wazazi, it makes me wonder why my partner is so scared ku-commit na hali naamini una enough constructive knowledge kuliko hata waliomo kwenye ndoa tayari... Nimeipenda thread yako, na naamini kwa wanaume/wanawake wenye watoto na wasio na watoto itawafaa wakizingaitia...
Najipanga dear....
ha ha ha haaaaaaaaaa.....marriage responsibilities will change my Lizzy, and i do not want her to change, she might be busy and frustrated!!
Lizzy hang on there girl.....i don't wanna miss you now....pls pls pls!!
Partner mi siogopi bwana sema basi tu sijamwona wakunifanya nitamani!!
Me is waiting.......
that‘s not the issue boss ...the issue is the mother using them kids to mess with someone else‘s marriage/relationship!!
Asante dearest...nimewapendelea wababa kidogo maana ndo hawajui kwamba wanachezewa...hua wanaona wanatakiwa na kustahili kuendeshwa sababu inahusu watoto wao!!Dearest,article nzuri nimependa, nachoshangaa ni kwanini umeshauri wanaume hivyo hapo nyekundu,na wanawake ukashauri tunapojikuta katika hali hiyo tuvumilie na kuwashauri wenzi wetu....in my opinion, uvumilivu uwe wa pande zote na mashauriano yatoke both sides,vivyo hivyo wanawake wasikubali kutumiwa wala kuchezewa, si kwamba nataka usawa,ila ninavyoona ushauri huu ni applicable both sides kwa kuwa challenges kama hizi zinatokea both sides.....
Goodnight dearest Lizzy.....:A S-rose:
partner mi siogopi bwana sema basi tu sijamwona wakunifanya nitamani!!
Me is waiting.......