Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,282
- 31,005
Hata udangaji una mwisho wake.Sema siku hizi wengi wa dada zetu wananufaika sana na udangaji, so wanaona kuolewa ni kubanwa na kupoteza muda.
zamani tu my friendKwani wewe umeolewa?
Atakuja huku anabubujikwa na machozi 😀😀Lucas sio muoaji, anataka kunichezea usichana wangu
😂😂hapanaNikuulize basi kwa niaba[emoji2]
Suala la Ndoa na familia ni suala pana linalohitaji watu sahihi wa kuliendea. Hilo linafahamika.Umedai sijasema uhalisia, nikakuuliza uhalisia ni upi. Ukaniuliza hoja yangu ni ipi.
Sasa ulijuaje sijasema uhalisia wakati hujajua hoja yangu ni ipi.
Unapinga jibu, unaulizwa kama hili sio jibu basi tupatie jawabu sahihi ili tujifunze. Unaanza kuuliza hivi swali lilikuwa ni nini.
Hoja kuu nimebainisha, unadai hujaiona ila hapa umeipinga⬇️⬇️
Hizo unazodai ni nadharia ndio uhalisia nilioona. Sasa nipe uhalisia wako mkuu, maana wangu umeita nadharia.
Hongera☺️
Eheheheh. Huu mwandiko sio wa mtu mwenye 14 years mtaani.Nilimaliza 2010
Naitwa IZUDINI ABDULRAHMAN😀😀😀Sheikh nani
Mbona kuna mahala anasema kamaliza chuo 2010?Afu kumbe na wewe ni dogo tu, miaka mitatu tangu umalize chuo, utakuwa unanipa shikamoo yangu sasa
Hongera sanazamani tu my friend