Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Tutaenda kupiga kura na tarehe hiyo jinsi tutakavyojaa kwenye vituo haijawahi kutokea kwa maana hata wale ambao walikuwa na uvivu basi tutawaondoa uvivu ,kwa maana si kwa ajili ya kushinda bali kuiangusha CCM.
hatutahitaji kura moja ya Seifu Sharifu wala muwakilishi diwani au mwenyekiti wa Mtaa ,hao wakae nyumbani au wakae pembeni waje kuweka saini tu za kukabidhiwa shahada zao.
Asie mwana abebe jiwe tarehe ni ileile alioitangaza Jecha ,tarehe ambayo waTanzania haswa ccm wataikumbuka maisha yao yote,ni siku ambayo watapigwa na kugaragizwa na chini na kuonyeshwa namna gani uchaguzi unafanyika kwa haki.
Walioko Unguja baada ya kupiga kura warudi majumbani au wakakae bwawani kusubiri tangazo rasmi wakae umbali wa mita mia 250 au tatu na viredio vyao.
Kwa vile hakuna kampeni ,itabidi tupige kampeni kwa njia za mitanddao ujumbe mifupi kupitia simu za mikononi na hata misikitini na makanisani tusiache kuhimizana kufika mapema sana sana ili tuzipige kura zetu ,inajulikana wazi ccm hawana kura ndio wamepanga mpaka kuzuia kampeni ,hivyo hakuna wasiwasi wowote hapo kituoni ni sisi kwa sisi ,tusubiri kituo kifunguliwe tuanze kupiga kura.
Tuhakikisheni wapenda amani wote ambao tunamiliki vichinjio basi tufike na vichinjio vyetu baada ya swala ya alfajiri tuwai kujipanga na kumaliza kazi mapema ili ,wakuu wawahi kuhesabu kura na kuzitangaza na mapema kabla ya kiza tuwahi kurudi majumbani au tukae ule umbali unaoruhusiwa kisheria.
Itakuwa vyema sana ikiwa kwa wapiga kura wote Zanzibar nzima tujihimu kufika vituoni kwa wakati na kuvilinda vituo kuona kinachoingia na kutoka ,hatuna haja ya kuzuia kiingiacho au kitokacho,tusubiri kituo au vituo kufunguliwa ili tupige kura.