Wazanzibari hamjui fursa zilizoko bara?

Wazanzibari hamjui fursa zilizoko bara?

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Mbwembwe za wazenji kuhusu muungano zimeanza kuzimwa baada ya hotuba ya Warioba.
Ninachokihisi ni kwamba wazanzibari wengi hawajatambua umuhimu na fursa zilizoko Tanzania bara!
Muda umefika wa kufanya maamuzi,hata watanganyika tumeshtuka!
 
Fursa zilizopo ni ufisadi, pombe, umalaya, mauaji ya kijinga,kupata nyanya,vitunguu na maharage, na mchele wa mbeya, na ujinga wanaorithi watoto wetu

Wewe mwenyewe hapo ulipo ukimuibia mtu unasema ni fursa.

Bora nikaishi canada nitakuwa na amani, furaha na uhakika wa kuishi ninavotaka.
 
Fursa zilizopo ni ufisadi, pombe, umalaya, mauaji ya kijinga,kupata nyanya,vitunguu na maharage, na mchele wa mbeya, na ujinga wanaorithi watoto wetu Wewe mwenyewe hapo ulipo ukimuibia mtu unasema ni fursa. Bora nikaishi canada nitakuwa na amani, furaha na uhakika wa kuishi ninavotaka.
Huko CANADA unakotamani kuishi waliamka wakakuta Mungu amewashushia maisha ya bwerere?? Acha utumwa wa mawazo. Kinachozungumziwa hapa ni fursa zilizoko bara
 
Fursa zilizopo ni ufisadi, pombe, umalaya, mauaji ya kijinga,kupata nyanya,vitunguu na maharage, na mchele wa mbeya, na ujinga wanaorithi watoto wetu

Wewe mwenyewe hapo ulipo ukimuibia mtu unasema ni fursa.

Bora nikaishi canada nitakuwa na amani, furaha na uhakika wa kuishi ninavotaka.

Kuna ndoa za jinsia moja huko ndio zinazo kupeleka?
 
Mbwembwe za wazenji kuhusu muungano zimeanza kuzimwa baada ya hotuba ya Warioba.
Ninachokihisi ni kwamba wazanzibari wengi hawajatambua umuhimu na fursa zilizoko Tanzania bara!
Muda umefika wa kufanya maamuzi,hata watanganyika tumeshtuka!

Unajidanganya ndugu yangu! Wazanzibari tumekuwa nyuma ya Warioba tangu mwanzo na tutakuwa pamoja nae mpaka kieleweke. Kama unachukulia kikundi cha CCM kuwa ndio jumla ya Wazanzibari basi usisite kuchukua msimamo wa CCM kuwa ndio wa Watanganyika.
Wazanzibari tumeshamaliza kazi ya kurejeshwa Tanganyika lakini nyinyi wenye Tanganyika mnaunyaunya.
Tumeshasema kuwa sisi ni nchi na vyovyote mtakavyoamua iwapo 2 au 3 sisi tunataka mamlaka tu kwani serikali si tunayo!
 
Huko CANADA unakotamani kuishi waliamka wakakuta Mungu amewashushia maisha ya bwerere?? Acha utumwa wa mawazo. Kinachozungumziwa hapa ni fursa zilizoko bara

Iwapo fursa hizo ni nje ya nchi yako basi ni sawa tu iwe Canada au Tanganyika.
 
Back
Top Bottom