Wazanzibar waombwa kumaliza tofauti kidugu

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
10398050_1015866141811177_1567316676420262541_n.jpg
 
Hatutaki wamalize kindugu, ila tunataka wamalize kidemokrasia tuu!!!! Haki itendeke hakuna la zaidi!
 
Tofauti kubwa ni ccm na cuf, ikiwa ccm wa bara wameshindwa kuwashauri wezao. Unafikiri wananchi wataweza?
 
Tofauti kubwa ni ccm na cuf, ikiwa ccm wa bara wameshindwa kuwashauri wezao. Unafikiri wananchi wataweza?
Wengi wenu hamlielewi tatizo, na ndio maana hata Magufuli hataki kuliingilia tatizo la wazanzibari kichwa kichwa.

wazanzibari walijitenga na kuanza kubadili katiba yao bila kuishirikisha Bara.
Ushauri wa Mwalimu wakautupia nje, kuwa mkiwabagua watu wa Bara mtapata matatizo, hawakulielewa hilo.

Sasa wamepata matatizo na katiba waliyoiunda fasta fsata inawasuta, ati sasa Magufuli awasaidie.
 
Back
Top Bottom