Unakumbuka Magot...? Je unamkumbuka Maumba...? Fodi je...?
Shikamoni wahenga
Empress, Empire, Avalon, New chox, Cameo, Odeon, Drive-in cinemaJe unakumbuka majumba ya sinema na picha zake zilizohit?
Uhuru, Mzalendo, Mfanyakazi, Daily News, Sunday NewsJe unakumbuka magazeti gani ya zamani, ambayo ukiwa nje ya mikoani gazeti la leo unalisoma baada ya siku mbili?
Mbowe,DDC (Kariakoo/Magomeni Kondoa), Imasco, Lang'ata, Mambo club, Rungwe oceanic, Silver sands, Msasani beach, La Dolce vita, CasanovaJe unakumbuka kumbi gani za starehe zilizokuwa zinawaka moto weekend?
Kuna meli moja ya kubeba magari ilikuwa inakuja(car carrier) ina mlango mkubwa nyuma unatumika kushusha magari ilikuwa inaitwa MV Kishtobe ndio chanzo cha mademu kuitwa KishtobeJe unakumbuka jinsi vijana walivyokuwa mashujaa wanavyozamia meli kwenda nje?
Wengine walikuwa wanapaka KANTA na YOMBOO ili nywele ziwe nyeusiWadada wa zamani mnakumbuka mlivyokuwa mnachoma nywele ili kukonga nyoyo za wanaume?
Marhaba mtoto mzuriShikamoni wahenga
Tabasamu Kiu SaniUhuru,Mzalendo,Mfanyakazi,Daily News,Sunday News
Yolanda. sabuni kodrai. kampuni ya mafuta Bp na caltex. Jumba la sinema shani, sapna, avalon. baiskeli ya swala. avon. phoenix.Unakumbuka fry mate?
Kimbo?
Aisee...kumbe ndio chanzo cha ilo jina "Kishtobe"Kuna meli moja ya kubeba magari ilikuwa inakuja(car carrier) ina mlango mkubwa nyuma unatumika kushusha magari ilikuwa inaitwa MV Kishtobe ndio chanzo cha mademu kuitwa Kishtobe
Kiu, sani hata mimi nimeyakutaTabasamu Kiu Sani
Mbowe,DDC (Kariakoo/Magomeni Kondoa),Imasco,Lang'ata,Mambo club,Rungwe oceanic,Silver sands,Msasani beach,La Dolce vita,Casanova
Uhuru,Mzalendo,Mfanyakazi,Daily News,Sunday News
Empress,Empire,Avalon,New chox,Cameo,Odeon,Drive-in cinema
Kuna meli moja ya kubeba magari ilikuwa inakuja(car carrier) ina mlango mkubwa nyuma unatumika kushusha magari ilikuwa inaitwa MV Kishtobe ndio chanzo cha mademu kuitwa Kishtobe
Wengine walikuwa wanapaka KANYA na YOMBOO ili nywele ziwe nyeusi
Hahahaha, mkongwee safi sanaMarhaba mtoto mzuri
kwani na wewe ni wa 1990s ?Kiu, sani hata mimi nimeyakuta
Mkuu ukiwaambia vijana wa sasa kwamba pale ulipo ubalozi wa USA ndio kulikuwa na Drive-in cinema hawatakuelewa....enzi hizo kama huna hela unakaa pale nje unacheki Bruce lee na akina Fred Williamson bila sauti. Tulikuwa tunaita kiingilio mbu!Hahahaha, mkongwee safi sana