Wayahudi wanajua kuna Hamas lakini hawawajui ni Nani Ndio wanaishia kubomoa Majengo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,141
Katika vitu ambavyo Wayahudi wamepungukiwa ni Karama ya Utambuzi Ndio sababu hata Nchi yao hawaijui.

Netanyahu anasema hii Vita itakuwa ndefu, nakubaliana naye kwa 100%.

Israel inajua kuna Kundi la Hamas lakini hawawajui ni Nani Ndio sababu waishia kubomoa Majengo na Miundombinu.

Ni hawa hawa Wayahudi walioishi na Yesu miaka 33 lakini walishindwa "kumtambua" na kuwalazimu kumpa Rushwa Yuda Iskarioti ili awathibitishie Yesu ni yupi.

Na walivyo hafifu kwenye Utambuzi ilimlazimu Yuda Iskarioti awaambie " Nitakayembusu huyo Ndiye Mkamateni"

Fikiria kwa mfano Yuda Iskarioti angeamua kumbusu mwanafunzi mwingine na Siyo Yesu.

Hivyo Israel inapigana na Watu isiowajua ni kama vile wanabahatisha Ndio unaona Wanaokufa ni Wanawake na Watoto.

Ni mpaka atokee mtu wa kuwabusu Hamas maana yake Wayahudi watakuwa Hoi bin taaban.

Mungu wa mbinguni awabariki.
 
Mbona umesema kweli. Hayo ni manynyu tu, mvua ikinyesha tutajua panapovuja.
 
Aliyekwambia hamas wana harufu au rangi maalum kakudharau sana.

Hata mtu anapoitwa gaini haimaanishi huwa anafuga ndevu na kuota sijda usoni wakati wote.

Hamas ni vijana wakazi wazaliwa wa palestina,ambao wanakunywa chai na dada zao na kulala na wapenzi wao,kama ufanyavyo wewe.

Ndio maana unaona hata wanapoamua kujificha kwenye makundi ya watu wanaungwa mkono maana ni ndugu zao sio wavamizi.
 
Hamas wamejenga tanel za maficho yao karibu katika kila karibu na taasisi muhimu, mahospitalini, mashuleni na kote kwenye mikusanyiko ya kijumuhia
 
Katika vitu ambavyo Wayahudi wamepungukiwa ni Karama ya Utambuzi Ndio sababu hata Nchi yao hawaijui.

Netanyahu anasema hii Vita itakuwa ndefu, nakubaliana naye kwa 100%.

Israel inajua kuna Kundi la Hamas lakini hawawajui ni Nani Ndio sababu waishia kubomoa Majengo na Miundombinu.

Ni hawa hawa Wayahudi walioishi na Yesu miaka 33 lakini walishindwa "kumtambua" na kuwalazimu kumpa Rushwa Yuda Iskarioti ili awathibitishie Yesu ni yupi.

Na walivyo hafifu kwenye Utambuzi ilimlazimu Yuda Iskarioti awaambie " Nitakayembusu huyo Ndiye Mkamateni"

Fikiria kwa mfano Yuda Iskarioti angeamua kumbusu mwanafunzi mwingine na Siyo Yesu.

Hivyo Israel inapigana na Watu isiowajua ni kama vile wanabahatisha Ndio unaona Wanaokufa ni Wanawake na Watoto.

Ni mpaka atokee mtu wa kuwabusu Hamas maana yake Wayahudi watakuwa Hoi bin taaban.

Mungu wa mbinguni awabariki.
Ukitumia neno wayahudi unakosea mkuu!
Sema Wazayuni ndiyo hawawajui Hamasi!
*Ushawahi kujiuliza kwanini Judaism wanawapinga Wazayuni (Zionism)?
*Unajua kama pale ndani Israel kuna Ashkenazi?
*Unajua kama Ashkenazi ilitokana na Khazarian?
*Ushawahi kujua kama Jamii ya Khazarian ndiyo ilikuwa ya wapagani huko kale ila baadae ikachanganyikana na Wayahudi ila wakadai jamii ilipotea karne 10 na haipo tena Dunian ila kufumba na kufumbua ikaja jamii ya Ashkenazi?
*Unajua kuwa hawa Ashkenazi ndiyo wananguvu kiuchumi na kiushashiwi Dunian katika maamuzi?

Mwisho nakukumbusha kuwa "SIO WAISREAL WOTE NI ISRAEL.
 
ila hamas ndo watambuz kwa kushambulia raia na kuacha kambi za jeshi
 
Ukitumia neno wayahudi unakosea mkuu!
Sema Wazayuni ndiyo hawawajui Hamasi!
*Ushawahi kujiuliza kwanini Judaism wanawapinga Wazayuni (Zionism)?
*Unajua kama pale ndani Israel kuna Ashkenazi?
*Unajua kama Ashkenazi ilitokana na Khazarian?
*Ushawahi kujua kama Jamii ya Khazarian ndiyo ilikuwa ya wapagani huko kale ila baadae ikachanganyikana na Wayahudi ila wakadai jamii ilipotea karne 10 na haipo tena Dunian ila kufumba na kufumbua ikaja jamii ya Ashkenazi?
*Unajua kuwa hawa Ashkenazi ndiyo wananguvu kiuchumi na kiushashiwi Dunian katika maamuzi?

Mwisho nakukumbusha kuwa "SIO WAISREAL WOTE NI ISRAEL.
unajuwa yote haya lkn hujui kuhusu mkataba wa bandari wa hapa kwetu
 
johnthebaptist si rahisi kumgundua mtu aliyejificha katikatika ya wananchi...Hamas wakishaondoa kitambaa ya kijani usoni wanaenda haraka kujichanganya kwa raia
Nimecheka hapo kwenye kuondoa haraka kitambaa cha kijani ,naongezea akishavua kitambaa cha kijani kichwani anavua na raba ya adidas basi kwisha huyooo anajichanganya
 
unajuwa yote haya lkn hujui kuhusu mkataba wa bandari wa hapa kwetu
IGA au HGA? Kama IGA kilichofanyika ni uhuni na wizi na upanguzi wa viongozi wetu
IMG_20230811_120932.jpg
 
Aliyekwambia hamas wana harufu au rangi maalum kakudharau sana.

Hata mtu anapoitwa gaini haimaanishi huwa anafuga ndevu na kuota sijda usoni wakati wote.

Hamas ni vijana wakazi wazaliwa wa palestina,ambao wanakunywa chai na dada zao na kulala na wapenzi wao,kama ufanyavyo wewe.

Ndio maana unaona hata wanapoamua kujificha kwenye makundi ya watu wanaungwa mkono maana ni ndugu zao sio wavamizi.
Umerudia kilekile ninachosema

Ni kama umejidharau wewe mwenyewe
 
IGA au HGA? Kama IGA kilichofanyika ni uhuni na wizi na upanguzi wa viongozi wetuView attachment 2822258
"Elites wa bongo" ni hatari....!!! How was it possible kuzima skandali ya kukata na shoka kirahisi namna hii. Ni skandali haswa asikwambie mtu!!! Lakini, imefungwa kirahisi sana na bila kuwajibishwa yeyote!!!

Au yawezekana nilikuwa fed na wrong info kutoka hapa JF si skandali hii!!
 
Katika vitu ambavyo Wayahudi wamepungukiwa ni Karama ya Utambuzi Ndio sababu hata Nchi yao hawaijui.

Netanyahu anasema hii Vita itakuwa ndefu, nakubaliana naye kwa 100%.

Israel inajua kuna Kundi la Hamas lakini hawawajui ni Nani Ndio sababu waishia kubomoa Majengo na Miundombinu.

Ni hawa hawa Wayahudi walioishi na Yesu miaka 33 lakini walishindwa "kumtambua" na kuwalazimu kumpa Rushwa Yuda Iskarioti ili awathibitishie Yesu ni yupi.

Na walivyo hafifu kwenye Utambuzi ilimlazimu Yuda Iskarioti awaambie " Nitakayembusu huyo Ndiye Mkamateni"

Fikiria kwa mfano Yuda Iskarioti angeamua kumbusu mwanafunzi mwingine na Siyo Yesu.

Hivyo Israel inapigana na Watu isiowajua ni kama vile wanabahatisha Ndio unaona Wanaokufa ni Wanawake na Watoto.

Ni mpaka atokee mtu wa kuwabusu Hamas maana yake Wayahudi watakuwa Hoi bin taaban.

Mungu wa mbinguni awabariki.
Aisee!
 
Umeongea kwa falsafa hongera kiongozi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
unategemea tutasonga mbele kama hatupig kelele kuhusu maswala ya iga
Kiukweli hatuwezi songa mbele, ila kuishi kupiga kelele hakutoshi pia!

Mzee Butiku leo alikuwa UD naona clip zake zinasema kwamba wanaongozwa wakilala basi ata muongozaji anafanya atakayo atakama ni ya ovyo!

Kelele zetu hazikufika kuhusu IGA? kimsingi zilifika ila waliamua kuzipuuza kwa maslahi yao.
 
Back
Top Bottom