mwacheni77
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 763
- 210
Kweli simba inahitaj kiungo mchezeshaji!simba ina viungo wengi tu hadi kibaden anachanganyikiwa,badru kweli tunahitaj mshambuliaji ila huyo mwingine ni upotevu au matumiz mabaya ya dirisha dogo la usajir,simba tunahitaj bek wa kat waje wawasaidie kina owino na kaze na sio blabala za mwenyekit anazoleta club na pia tunahitaji mshambuliaji wa maana na golikipa wasaidiane na watt waliopo sio tunasajil cos yanga wanasajil kuiga kwingine ni kubaya.
Rage hana mpinzani ktk soka ila anakwamishwa na wasiojua mpira ndani ya TFF.
Hivi matatizo yetu Simba ni viungo? Hatuna forward ya maana, na walinzi wa kutegemea!
Huyu Rage asijichukulie madaraka ya KIbaden. Aaaaaaagh, Simba inapofungwa tunaumia sie bana...
Wachezaji wanasaini getho kwa chairman.!!
Mbona nyie mlikuwa na mashati mawili golini na sasa mmeongeza la tatu linaitwa Kaseja na hatusemi?Subirini raundi ijayo!!Raundi ya kwanza mliruhusu yakarudi Ma 3, Raundi ijayo lazima msamba uchanwe!!!rageeee.....simba mlie tu hapo hamna mwenyekiti,
Aggrey Morris je? Khamis Mcha (Vialli)? Mwadini Juma? Au unakusudia Pemba kwa maana halisi ya kisiwa cha pili cha ukubwa kwa Zanzibar? Sidhani kama kwa hilo unaweza kuwatambua yupi katoka kisiwa kipi.Wapemba na mpira wapi na wapi bhana? Ni Chollo na Canavaro tu ndio walijaaliwa bahati hiyo.