K kituro Senior Member Dec 25, 2010 176 15 Jan 19, 2011 #1 Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF!
Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF!
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Aug 25, 2010 9,539 5,904 Jan 20, 2011 #2 kituro said: Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF! Click to expand... Sheraton Dar-Royal Palms-......sasa ni Movenpick....wajinga ndio tuliwao!!
kituro said: Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF! Click to expand... Sheraton Dar-Royal Palms-......sasa ni Movenpick....wajinga ndio tuliwao!!
khayanda JF-Expert Member Nov 6, 2007 247 25 Jan 20, 2011 #3 WAnaubia na viongozi wetu hivyo hawawezi kufanywa chochote. sisi yetu machoooo, tuombe mungu viongozi wetu wafe tuanze moja
WAnaubia na viongozi wetu hivyo hawawezi kufanywa chochote. sisi yetu machoooo, tuombe mungu viongozi wetu wafe tuanze moja
Gama JF-Expert Member Jan 9, 2010 13,266 4,716 Jan 20, 2011 #4 kituro said: Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF! Click to expand... unauhakika walibadili majina ili kukwepa kodi au ni mtu mwingine alinunua?. Tupe evidence juu ya hilo: no research, no right to speak.
kituro said: Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF! Click to expand... unauhakika walibadili majina ili kukwepa kodi au ni mtu mwingine alinunua?. Tupe evidence juu ya hilo: no research, no right to speak.
A Aalim Member Jan 17, 2011 36 4 Jan 20, 2011 #5 Nijuavyo mimi Tigo haijawahi kubadilisha jina yenyewe siku zote inaitwa MIC (T) Ltd. Buzz, Mobitel, Tigo hayo ni majina ya kibiashara tu.
Nijuavyo mimi Tigo haijawahi kubadilisha jina yenyewe siku zote inaitwa MIC (T) Ltd. Buzz, Mobitel, Tigo hayo ni majina ya kibiashara tu.
B binti ashura Senior Member Jan 14, 2011 118 19 Jan 20, 2011 #6 :amen: kituro said: Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF! Click to expand...
:amen: kituro said: Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF! Click to expand...
B binti ashura Senior Member Jan 14, 2011 118 19 Jan 20, 2011 #7 kituro said: Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF! Click to expand... Nakupongeza kwa kuliona hilo endelea na moyo wa uzalendo.
kituro said: Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF! Click to expand... Nakupongeza kwa kuliona hilo endelea na moyo wa uzalendo.