Habari zenu wakuu,, tunauza mapazia ya mtumba grade 1 na ni mazuri .kwa anayeitaji anakaribishwa sanaa. yanapatikana tegeta nyaishoz
Namba ya Simu : 0712624800
Inaelekea bishara yako ya siri kama unyago, kaa nayo yakuozee
Kama ni mfanyabishara siriaz ungeweka taarifa za kufanya wateja waweze fika dukani kwako, Tegeta kubwa au unajulikana sana kiasi kwamba nikienda kituo cha polisi nikakuulizia watanileta?