Kiramamoshi2019
Member
- Jun 12, 2019
- 6
- 0
Natafuta wauzaji wakubwa wa Computer za Jumla hapa Dar es salaam nahitaji kuchukua Mzigo mkubwa Mwenye namba zao naomba anisaidie pia na Ofisi zao zilipo
karibu Drone Computer (Wakala wa apple computer hapa Tanzania): piga simu 0713-039 875 au 0746-945 583 , tupo Mbezi Mwisho.Natafuta wauzaji wakubwa wa Computer za Jumla hapa Dar es salaam nahitaji kuchukua Mzigo mkubwa Mwenye namba zao naomba anisaidie pia na Ofisi zao zilipo