Wauzaji wa Computer kwa mfumo ha hire Purchase

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,351
Reaction score
4,616
HAbari wadau,

Kuna mdau anahitaji Laptop PCS 5 na Desktop Complete PC 12 Photocopy Machine.Meza za Computer sio zile za kichina na viti vya office na Meza mbili za ofisi Pamoja na AC Mbili complete.Kama kuna mdau ambaye anaweza supply hizi bidhaa kwa mfumo wa malipo ambao ni rafiki basi anitafute PM ili niweze kujua bei zake specification pamoja taarifa na utaratibu wa malipo.

Karibuni
 
Kwa mahitaji ya viti piga simu 0712652110 , vinapatikana Majohe DAR kama unataka kuviona kwanza kabla ya mazungumzo itapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…