Villanova tito
Senior Member
- Dec 20, 2016
- 148
- 154
Mzungu avae nguo iliyovaliwa na nyani kweli??Yaani mzungu kazivaa Hadi kuzijambia na kuzitupa then waafrika tunazinunua.Kwa Nini tusitengeneze wenyewe nguo zetu tuzivae halafu zikichakaa ndiyo tuwauzie wazungu?Maana pamba ipo ya kutosha kabisa.kuishi bila mtumba inawezekana
Yaani mzungu kazivaa Hadi kuzijambia na kuzitupa then waafrika tunazinunua.Kwa Nini tusitengeneze wenyewe nguo zetu tuzivae halafu zikichakaa ndiyo tuwauzie wazungu?Maana pamba ipo ya kutosha kabisa.kuishi bila mtumba inawezekana
Hao wazungu wenyewe mbona wana vaa mitumba pia tena sana.Yaani mzungu kazivaa Hadi kuzijambia na kuzitupa then waafrika tunazinunua.Kwa Nini tusitengeneze wenyewe nguo zetu tuzivae halafu zikichakaa ndiyo tuwauzie wazungu?Maana pamba ipo ya kutosha kabisa.kuishi bila mtumba inawezekana
Hata huko ulaya second hand wanavaa labda jina tu hatufanani vipato broHii biashara ya mitumba imeshamiri sana siku hizi. Sijui ndiyo dalili ya nchi kuendelea!! Na tunaposema mitumba kutoka China, Canada, Dubai, nk. Tunamaanisha nguo zilizovaliwa na watu wa hayo mataifa, halafu baada ya kuzichoka wanazitupa; na watu wenaziokota na kuziweka kwenye hayo mabalo! Kisha wanakuja kutuuzia sisi watu wa ulimwengu wa tatu.
Nyerere alijaribu kuanzisha viwanda vya nguo mfano Urafiki, Mwatex, nk. huku akipiga marufuku hii biashara ya mitumba! Na bado alishindwa vibaya. Viwanda vyote vilishindwa kujiendesha! Vingi vilikufa, vichache vikageuzwa kuwa maghala na Wahindi, nk.