Original wax ni ghali inatengenezwa Holland havipauki harakaJava ndo inakuaje na wax ikoje? Bei zake je
Nko daslaam mkuu, huko tdm huwa vinapatkana kwa bei gn
Nenda mtaa wa congokkoo mtaa upi mkuu
Mi nauza vitenge karibu 0682432363 tuwasilianeWakuu kuna mtu yeyote anayeuza vitenge humu? Halafu bei za hivi vitenge zikoje mana nimejaribu kuchungulia huki insta naona vinauzwa 35,000 ina mana hamna vya bei ya chin i ya hapo??
Na quality zinakuwaje mana sijui chochote kuhusu vitenge na nataka nimnunulie shangaz yangu nimpelekee zawadi
Wataalamu wa vitenge tujuzane na machimbo ya kupata walau bei ya kupoa