Pelekaroho JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 1,602 Reaction score 378 Aug 7, 2021 #1 Weka tangazo,mahali ulipo bei ya saa na aina yake pamoja na namba ya simu karibuni. Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo; Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza Elezea hali ya bidhaa (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi. Taja bei Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu) Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya. Usirudie tangazo. Kuwa mwaminifu na toa ushirikiano kwa watakaohitaji huduma yako. Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya saa na aina yake pamoja na namba ya simu karibuni. Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo; Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza Elezea hali ya bidhaa (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi. Taja bei Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu) Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya. Usirudie tangazo. Kuwa mwaminifu na toa ushirikiano kwa watakaohitaji huduma yako. Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,736 Reaction score 19,666 Aug 7, 2021 #2 Wauza vizibo vya asali Uzi wao ufunguliwe
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,520 Aug 7, 2021 #3 mkorea said: Wauza vizibo vya asali Uzi wao ufunguliwe Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nasubiri uzi wa wauza shanga nimnunulie @financial services
mkorea said: Wauza vizibo vya asali Uzi wao ufunguliwe Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nasubiri uzi wa wauza shanga nimnunulie @financial services
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,192 Reaction score 9,883 Aug 7, 2021 #4 Nasubiria uzi wa wauza vumbi la Congo
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,202 Aug 16, 2022 #5 Nitarudi baadae kidogo