Wauza laptop tukutane hapa

Embu wekeni na picha mambo kuuza mbuzi kwenye gunia yamepita na wakati..
 
Hp inauzwa.. 620,000
Ram 1gb
Hdd 320gb
Location niko dar
Namba za simu 0653811003.. you can whatsapp me..
 
Hii bado ipo mkuu? Au kuna yoyote ya 300 (good condition) uliyonayo tufanye biashara?! Asante.
Samsung Mini
HD. 80
Prcs. 1.8
Ram 1.8
Webcam
Enej server more 4 hrs
10 months
Fixed price 320,000/

Call or watsap on
0783 745 260
Dar.
 
Jaman mm natafta laptop yoyote ambayo n touch screen alaf iwe slim. Kama ipo chek me 0765024294
Hata mm. Naitaji..laptop ya design hii
Ukipata zaid ya moja kwa bei nzuri nchek ndugu
 
Uko wapi nikuuzie hp imekufa screen tu
 
Embu wekeni picha aise kama uko serious na biashara yako
 
HP Eltebook folio 9470m

core i5-3337U 1.80ghz
4gb ram
64gb ssd
500gb hdd
inter Hd graphics 1.5gb
14" screen 1600Γ—900 resolution
web camera
bruetooth
betry bovu halikai hata sekunde
imetumika mwaka 1

Mawasiliano 0714043129

tshs 425000 /=
 
Acer travelmate 5730 15.4 inch 250gb hdd 3gb ram 2core 2.0Ghz ina webcam brand new inaenda kwa 450k kwa mawasiliano 0652746359.
 

Attachments

  • IMG-20160330-WA0000.jpg
    37.7 KB · Views: 171
  • IMG-20160330-WA0001.jpg
    51.4 KB · Views: 169
Nauza Lenovo G500 bei poa kabisa , hdd500 , ram 4gb,processor 2ghz, windows 10... ni mpya kabisa , bei laki 3 na nusu , hakuna maongezi Zaidi ya hapo..


kwa maelezo Zaidi ni PM
 
Accer imepasuka kioo anaetaka screpa nipm HDD 250, ram 2gb
 
]HP. Pavilion dv6
HDD 500GB
RAM 4GB
AMD PROCESSOR 2.00GH
BEAT AUDIO SPEAKER
PRICE 5.6K..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…