Wauza Laptop Tukutane Hapa

thefreedot

Senior Member
Joined
May 21, 2015
Posts
135
Reaction score
25
Nauza laptop hii ya Dell...Duo Core 2.3ghz..ram 2gb...hdd 250gb
Bei Tsh. 450,000 napatikana Dar..Mikocheni
 
Mwenye uhitaji nicheki kwenye 0624132227/whatsapp/direct call
 
Tatozo duo core unauza bei kubwa kuliko hata i3... unadhani tutakutanaje!..
 
Napatikana mwanza mjini call 0753358283 kama unataka mzigo wa jumla au rejareja ninazo kila aina
 
Duo core kwa bei hiyo duh! Sasa hivi tupo kwenye enzi core i
 
HP elitebook 8440P inauzwa kwa 450,000. In mint condition na good looking.

Sifa

Core i5, 6GB RAM, 500GB Harddisk, 14.1 inches display.

Nitumie PM nikupatie namba yangu ya simu kwa mawasiliano.
 
Nahitaji LG laptop with Minimumum specification RAM 4GB, Harddisk at least 500GB,With Processor duo core or I series,mpya au used kuna 500K kwa used, Mpya tunaweza elewana kutokana na Specification....Karibuni wadau.
 
Nahitaji LG laptop with Minimumum specification RAM 4GB, Harddisk at least 500GB,With Processor duo core or I series,mpya au used kuna 500K kwa used, Mpya tunaweza elewana kutokana na Specification....Karibuni wadau.
1TB na 8GB pamoja na 1.60GHz
 
Dell inspiron
Core i3 proc.
500GB HDD
4GB RAM
3hrs battery
Bei 450,000/=
NB//:mazungumzo yapo
 
Hp EliteBook 8460p
14.1" display
500 GB HDD
6 RAM
Core i5 (@2.60 GHz)
OS windows 8.
Price: 530,000 (negotiable)

Cont.0716403314
WhatsApp 0625882454
 
Laptop(almost new) aina ya Dell Inspiron 15 3000 Series Core i5 RAM 4GB,500GB HDD kwa sh.500000 inakaa na charge masaa saba hadi sita kwa kazi za kawaida na masaa manne hadi matano kwa movies/streaming piga 0656166717 kwa biashara zaidi na picha kama utahitaji.
 
Tupia picha mkuu tuone au ishauzika? Na hei ni fixed au negotiable?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…