Wakija wengi nipasie na Mimi mkuuKwema humu?
Nawasilisha hitaji la mke wa pili kama ambavyo nilimpata wa kwanza humu.
Umri wake usizidi miaka 32.
Kwa mwenye utayari tunaweza kuwasiliana kupitia PM.
Id ya bi mkubwa ni ipi ili tujipime kama panaingilika sheikh
Hauwezi jua yanaweza kuwa ya dr mwaka, wake hadi sare wanavaa ni vema kumjuaKwan utaenda ishi nae jamani si mnakaa mbali mbali
Hauwezi jua yanaweza kuwa ya dr mwaka, wake hadi sare wanavaa ni vema kumjua
Unataka kujua vigezo vya mke mwenza badala ya vigezo vya mmeHauwezi jua yanaweza kuwa ya dr mwaka, wake hadi sare wanavaa ni vema kumjua
Sio vigezo kujua tu kama kwake panaingilika, unaweza vunjwa miguu hata shela bado haujalivuaUnataka kujua vigezo vya mke mwenza badala ya vigezo vya mme
πππ ingia hivyo hivyoSio vigezo kujua tu kama kwake panaingilika, unaweza vunjwa miguu hata shela bado haujalivua