wauguzi wa mwananyamala

indigwe

Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
31
Reaction score
0
jamani hivi hawa wauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda kumsaidia badala yake siku iliyofuata walimuongezea dozi, hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata ulemavi kutokana na wauguzi wa aina hii?
 
du hii nchi kuna baadhi ya maeneo yanatisha kama huna pesa suala la huduma bora sahau na hasa katika hospitali zetu za akina kayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…