wauguzi wa mwananyamala

wauguzi wa mwananyamala

indigwe

Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
31
Reaction score
0
jamani hivi hawauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda badala kumsaidia hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata ulemavi kutokana na walemavu
 
muuguzi mmoja akigundulika amefanya uzembe awajibishwe ili iwe mfano kwa wengine la sivyo tutaendelea kuteseka
 
Back
Top Bottom