Watumishi wa Umma jiandaeni Kisaikolojia

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,081
6,917
Habari wana Jf.
Mwaka wa fedha 2017/2018 hakuna nyongeza wala kupanda madaraja.

Zile blabla za Mei mosi msizifikirie zitawachanganya na mtachanganyikiwa.
Wabishi wapo ila siku ya kuujua ukweli wataamini.
 
Mishahara siku zote huwa haitoshi mkuu. Watumishi siku hizi tuna miradi yetu. Sisi ni kazi tu.

Kama wewe bado unasubiri kupandishiwa mshahara utakufa ukiwa masikini. Amka mkuu.

Sijakuelewa @ Mkuu! Kwa hiyo unamaana hata wasipoongeza Mshahara Wewe unaona kuwa ni Sawa tu Kwa kuwa hata wakiongeza hautatosha kukidhi mahitaji ? Au unamaana gani naomba ufafanuzi tafadhali
 
Habari wana Jf.
Mwaka wa fedha 2017/2018 hakuna nyongeza wala kupanda madaraja.

Zile blabla za Mei mosi msizifikirie zitawachanganya na mtachanganyikiwa.
Wabishi wapo ila siku ya kuujua ukweli wataamini.
Acha lamli mkuu.
 
Kwani tangu azuie kuna mfanyakazi aliyekufa njaa? Nimshauri aikate mishahara ya wafanyakazi wa umma kodi ya 50% ili kufidia michango ya wahisani.
Shirikisha na akili yako pia pindi unatype mashudu yako.. usiviachie tu vidole vyako...
 
Shirikisha na akili yako pia pindi unatype mashudu yako.. usiviachie tu vidole vyako...
Hiyo yako ndio imefikia ukomo? Sikushangai kwa sababu makinikia yametawala sehemu kubwa ya ubongo wako na ili ukae sawa yabidi tukuundie tume ya tatu. Akili za mchanga bwana!
 
Gov budget ya mwaka jana ktk matumiz ya kawaida mishahara kwa watumishi wa umma ilikuwa Trillions 6.6 Tshs na mwaka huu 2017/2018 ni Trillions 7.2

Sasa mkuu utanishawish vip ili nikubaliene na thread yako???
 
Hivi wale wakuu wa idara wanaolipwa kuanzia 3.5M nao wanaisoma namba kama sisi wenye salary chini ya 500k? ?
 
Ni kweli, mishahara huwa haitoshi daima.
Mimi huwa naamini kuwa, kiwango cha mishahara kutosha au kutotosha inategemeana na AKILI ya mtu mwenyewe.
 
Tushazoea wapandishe wasipandishe tutaendelea ishi kwa imani tukimtazamia bwana Yesu,wengine mtume wao basi.
 
Back
Top Bottom