Watumishi wa serikali bwana!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,947
Reaction score
9,460
Jaman watumishi wa serikali!Jaman watumishi wa serikali nyie!
Watumishi wa serikali walienda kwa babu Loliondo, baada ya kupata kikombe babu akawaambia,
"haya 500 yangu"
si wakatoa kadi za bima ya afya!..Babu akabaki amepigwa butwaa akasema hii nchi mpaka kondom mtatoa kadi za bima ya afya!!
 
Walijua babu msanii hakuna aliyepona
 

Hivi bado anaendelea na kikombe chake?
 
ndio maana kumbe wengi hawajapona, walimtapeli babu..loohh!
 
Duu hiyo kiboko, hivi babu wa loliondo bado yupo?
 
Nakushtaki kwa PAW, umezivunja mbavu zangu kwa kicheko. Loh!
 
419.bittenus.com wanapenda vya bure sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…