Kwa kipindi cha wiki moja sasa, baada ya kushanga jinsi airtime inavyolika, Niliamua kuweka fedha kwenye akaunti yangu ya air time na kutoitumia kabisa zaidi ya ku-check salio tu. Nilichogundua ni kua jamaa wananikata shs 68/= kila siku!!!! Najiuliza sipati jibu. Nimeona niliweke humu jamvini kama kuna mtu amekutana na experience ya aina hii kama sijaliwasilisha katika mamlaka husika.

Mbona ulichoandika siyo siasa? umesahau wapi pa kupeleka thread yako.
Kwa kipindi cha wiki moja sasa, baada ya kushanga jinsi airtime inavyolika, Niliamua kuweka fedha kwenye akaunti yangu ya air time na kutoitumia kabisa zaidi ya ku-check salio tu. Nilichogundua ni kua jamaa wananikata shs 68/= kila siku!!!! Najiuliza sipati jibu. Nimeona niliweke humu jamvini kama kuna mtu amekutana na experience ya aina hii kama sijaliwasilisha katika mamlaka husika.
Ni Siasa kwasababu wanasiasa ndio wanapokea rushwa kubwa ili hii kampuni ya Tigo ilipe kodi ndogo. wezi wakubwa!!!!!!!!!!!!!!!Mbona ulichoandika siyo siasa? umesahau wapi pa kupeleka thread yako.
Mimi nilijua ile tigo nyingine.