efrankmwandy
Member
- Dec 1, 2016
- 93
- 50
Msaada naomba mwenye hizi plugin za fl studio
Hypesonic
Nexus
Ochestral
anitumie email: frankmwandy@gmail.com au wapi kwa kuzipata
Mkuu Plugin Na Nexus Ninayo Na Ata Hyo Orchestral Ninayo Pia Ila Nexus(inazaidi Ya Mb 400) Na Ochestral (ambayo Ni orcherstral Ya Sam For Native Instruments Yenye Inazaidi Ya Gb 5),.,,zko poa sana tena ni tamu kwny fl studio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nifight aise nazihitaji sanaAu cha kufnya zitafute kupitia torrent broo zilizokuwa cracked tyr
Ingia Google Kwny Pc Yako Andika"vstitorrent.Com" Itafunguka Page Yenye Plugins Za Ukweli Kuanzia Za Native Sample,,mixng Na Mastrng!!,,zpo Nyng Mf,,nexus,sylenth,,izotope Na Nyngne Kibao.Kitu Cha Msingi Ili Uweze Kudownload Hzo Plugns,,,inabidi Uwe Na Kiprogram Flan Kinaitwa Bittorrent Au Utorrent Zote Zpo Google Unaweza Kuinstall Kwa Pc.
sawa sawa utorrents nmeinstall kwenye pc, nashukuru sana kwa msaada ntaingia kwny hyo siteIngia Google Kwny Pc Yako Andika"vstitorrent.Com" Itafunguka Page Yenye Plugins Za Ukweli Kuanzia Za Native Sample,,mixng Na Mastrng!!,,zpo Nyng Mf,,nexus,sylenth,,izotope Na Nyngne Kibao.Kitu Cha Msingi Ili Uweze Kudownload Hzo Plugns,,,inabidi Uwe Na Kiprogram Flan Kinaitwa Bittorrent Au Utorrent Zote Zpo Google Unaweza Kuinstall Kwa Pc.
pc yangu ingekua siibaki ningeenjoy sana!!sema uwezo mdogo ila ina vitu kibaosawa sawa utorrents nmeinstall kwenye pc, nashukuru sana kwa msaada ntaingia kwny hyo site
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vzur brother hzo nexus hzo n nomapc yangu ingekua siibaki ningeenjoy sana!!sema uwezo mdogo ila ina vitu kibaoView attachment 582159