Mtaa mzima wanakutegemea wewe kwenye usafiri
mkuu angalia hiyo picha vizuri utaona palipo shikwa,ndio hayo maungo yenyeweHayo ndo maungo gani??
Unashangaa nini?
Unatoa huduma mtaa wenu wote?
Yeleeeuuwiiiii...kwa hesabu ya haraka haraka ni watu 18....Familia mkuu
Hapo tulikuwa kwenye maonesho ya kuboresha usafiri wetu...sasa hivi ni mwendo wa kubeba raia zaidi 🙂