Watu wenye Akili Duniani.

serengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
488
Reaction score
362
Najaribu kuwaza tu mfano ikifanyika sensa ya utambuzi Wa akili za watu duniani ( kutafuta nchi yenye watu wenye akili sana nchi ya kwanza hadi ya mwisho) unafikili Tanzania inaweza shika namba ngapi na kwa nini?
 
Toa Hadidu za rejea kwanza tupate pa kuanzia.
 
Kwa Tanzania Chenge ni namba moja
Unamaanisha Li-Joka-Lenye Makengeza?
Angalia lakini kwa Timbwili la 'Makinikia'
Kengeza zinaweza kugeuka Chongo.

... ... .. ... .. . Navuta Uladi Uwani.
 
Najaribu kuwaza tu mfano ikifanyika sensa ya utambuzi Wa akili za watu duniani ( kutafuta nchi yenye watu wenye akili sana nchi ya kwanza hadi ya mwisho) unafikili Tanzania inaweza shika namba ngapi na kwa nini?
Usiseme akili sema uwezo wa kutambua kipi sahihi na si sahihi (IQ) akili ata chizi anazo.
 
Mkuu E.Chenge ni binadamu wa pekee kuwahi kuumbwa anawakimbiza watu 50 million mchana kweupeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…