Dig the EA
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 287
- 279
Radio one na ITV walitoa taarifa hiyo nduguChanzo cha habari yako ni kipi??
ITV and Radio oneChanzo cha habari yako ni kipi??
Ndugu taarifa hiyo naijua ila ni kumkumbusha mleta uzi akumbuke kuweka chanzoRadio one na ITV walitoa taarifa hiyo ndugu
Sawa bro, nimeweka .Ndugu taarifa hiyo naijua ila ni kumkumbusha mleta uzi akumbuke kuweka chanzo
Mdharau mwiba huota.......!Wanasema hivyo mwisho wa siku hamna lolote
Wanasema ndo ndo ndo si chururuVibaka tu hao,njaa ilisaumbua
Noted with thanksSawa bro, nimeweka .
Noted with thanksSawa bro, nimeweka .
Noted with thanksSawa bro, nimeweka .
Hakuna cha watu vibaka tu,wachimba mihogo. Yan wanaua watu alfu na ku chukua ndoo ya mandazi aiseee! Eti nao jeshi. Aya jeshi Hilo hapo chini!Watu wenye silaha wametekeleza mauaji ya watu 11 usiku wa kuamkia leo kaskazini mwa Rwanda.
Tukio la mauaji hayo lilitokea mida ya saa tatu usiku katika tarafa za Kinigi na Musanze wilayani Musanze jimbo la Kaskazini mwa Rwanda.
Jimbo hilo ni miongoni mwa majimbo nchini humoyanayoongoza kwa vitendo vya uvunjifu wa amani.