Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,354
- 29,309
Inayapa maisha thamani ukiishi au kukutana na watu kama hawa. Mungu awabariki sana.Huyu ni mtu ambaye anakusaidia wakati yeye mwenyewe anataka msaada,yani kuna watu ambao wao wenyewe hali zao ni za mashaka lakini bado wana moyo wa kutoa,kama wewe ni mmoja wapo ubarikiwe sana
Mtu ambaye anawapuuza watu wengine kwa ajili yako,yani watu wengine wanampa maneno ya uchochezi au fitina juu yako lakini bado anaziba masikio na bado yupo na wewe,big up sana kwa boss wangu mpya licha ya kwamba boss wangu wa zamani alitia fitina juu yangu,lkn my new boss kwakuwa ananijua vyema ameniamini na tunapambana pamoja
Mtu ambaye anakupa mda kusikiliza shida zako,yupo tayar mda wowote kukusikiliza bila kuchoka,na anatunza siri zako
Amina,hawa ni watu wa maana sanaInayapa maisha thamani ukiishi au kukutana na watu kama hawa. Mungu awabariki sana.
Sasa kama umesema wewe boss nani atabisha sasaππMY MOTHER IS MY LIFE.
period
Wee jamaa ukija comment kwa uzi wangu nakustaki kwa mood...Na mimi ni mtu wa muhimu kwa nani?
una umuhimu sana,umetufundisha kuwajua na kuwa makini sana na wanawakeNa mimi ni mtu wa muhimu kwa nani?
Wanajikuta kama trump vileππMama
Mama
Mdogo angu
Faza
Sema ndugu upande wa faza wanakuaga jau jau sana kmmk πππ
Nakueleewa vizuri sana, ninaseko ya watu kadhaa wachache wa aina hiyo. Aisee Mungu aendelee kuwatunza.Amina,hawa ni watu wa maana sana
Jau kinoma sijui wana shida gani wale viumbe πππWanajikuta kama trump vileππ
ndugu wa faza wajinga sana wamefanya familia iishi kama digidigi kipindi cha nyumaMama
Mama
Mdogo angu
Faza
Sema ndugu upande wa faza wanakuaga jau jau sana kmmk πππ
Pole sana boss,ndio wetu hao itabidi tuishi nao hivyo hivyondugu wa faza wajinga sana wamefanya familia iishi kama digidigi kipindi cha nyuma
Sina nduguMama
Mama
Mdogo angu
Faza
Sema ndugu upande wa faza wanakuaga jau jau sana kmmk πππ
Seriously?Sina ndugu
Huna ndgu mjini hapa unaishi vipi mkuu..Sina ndugu
Ndugu zangu ni Washkaji naopiga nao harakati...Huna ndgu mjini hapa unaishi vipi mkuu..
Ikikupata shida je
Sure mkuu , very seriously...!!Seriously?