kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,448
Kudadadeeeki ndiyo maana mliwatuma ma tbc yenu kwenda kufanya sabotage ya mkutano wa mh Lissu siyo.?Lissu hakuamini mpaka anafunga mkutano wahudhuriaji wachache!View attachment 1551374
Jana ndiyo tbc wamejidhalilisha sana mbele ya watanzania kuwa ipo pale kwa ajili ya ccmNimegundua MaCCM Lissu anawauma sana
Kudadadeeeki ndiyo maana mliwatuma ma tbc yenu kwenda kufanya sabotage ya mkutano wa mh Lissu siyo.? View attachment 1551376View attachment 1551377
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri ni kuwa sasa hivi kila mtanzania ashazijua njama haramu za ccm na vibaraka waoNdiyo maana wakawaambia watu wenye drones na magari ya matangazo wakajirejiste ili zile drones zinazorekodi mikutano wazipige pini ili zisiweze kuchukua views pana za watu wenye mikutano na magari ya matangazo kipindi hiki cha kampeni wayapunguze mitaani.
Hawa jamaa wanajua hawana radhi ya umma kwa hiyo wanatumia njia za mapinduzi ya kijeshi kulinda utawala wao.
Ya kuomba wadhamini hii toa ya janaKudadadeeeki ndiyo maana mliwatuma ma tbc yenu kwenda kufanya sabotage ya mkutano wa mh Lissu siyo.? View attachment 1551376View attachment 1551377
Sent using Jamii Forums mobile app
Angesoma ilani tungemuelewa lakini kutuambia ana risasi watu kibao wanazo na hawasemi wapo kimya tunataka sera!Nimegundua MaCCM Lissu anawauma sana
Uzuri ni kuwa sasa hivi kila mtanzania ashazijua njama haramu za ccm na vibaraka wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Angesoma ilani tungemuelewa lakini kutuambia ana risasi watu kibao wanazo na hawasemi wapo kimya tunataka sera!
Wanajisahaulisha yaliyo tokea SudanCCM inatembelea mgongo wa majeshi, haina sapoti kubwa ya wananchi. Hilo CCM wenyewe wameshalijua na ndiyo maana wana behave kama fisi mwenye njaa kwa kuvuruga michakato yote ya kuwezesha kuwapa wananchi chaguzi za haki na za uwazi!
Maskini tayari huyu mtu amekata tamaa nitafute nikupe nauli ya kufika kawe!
Mtaandaa sera saa ngapi na chama hakina uongozi!Akwambie sera huku ukiengua wagombea wake au vipi?
Yaani aendelee kujaza maji kwenye ndoo huku mkiitoboa kibabe au vipi?
Pole maumivu yakizidi kamuone daktari!Uzuri ni kuwa sasa hivi kila mtanzania ashazijua njama haramu za ccm na vibaraka wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hueleweki hata unacho kisimamiaPole maumivu yakizidi kamuone daktari!
Ni kuwa kwanini Lissu ameshindwa kusoma ilani iliyoandaliwa miaka mitano!
Ni kuwa kwanini Lissu ameshindwa kusoma ilani iliyoandaliwa miaka mitano!