Watu wanapokwama

Shauri pande zote staha ziwe pande zote.Ulaya serikali inawaheshimu RAIA wake na RAIA wanaiheshimu serikali yao.Umeelewa!!
 
Ukiwa na ngozi nyepesi ubaba wa familia haukufai.mtoto akikukojolea utamtupa?
 
Pumbavu na Lofa wewe(ref. Mkapa)

Nchi sio ya Rais!
 
Labda tubadili mfumo wa uongozi aina ya muundo tutakaowapa dhamana watuongoze, huu muundo uitwao uraisi sahau kuhusu maendeleo, umefail Africa nzima wafaa ulaya na USA Nchi Inatakiwa iongozwe na watu sio MTU.
Tatizo we dont have VISION as a nation, ndo maana kila mtu anakuja na ajenda zake. Ilitakiwa rais aje na only mission lakini Vision izikute!
 
Basi niache niendeshe mambo vile nilivyokubaliana na wananchi, unanipaje ushauri mimi ambaye ni ''jiwe'' au kichaa.

wewe ndio Jiwe mwenyewe nini?
Na kama ndio wewe, ushike adabu yako uache kuendesha nchi kama baa ya mbege.
 
Hapana ndugu yangu, mimi siye wala sistahili kulegeza gidamu za viatu vyake, yeye ni yule awezaye kutubatiza kwa moto mimi uwezo wangu ni ubatizo wa maji tu.

Uniwe radhi nilipitiwa kuweka alama za kunukuu hayo maneno.
 
Hamna noma, we mfikishie tu vilio vyetu!
Amechukua nchi yetu nzuri halafu akaiweka juu ya mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…