Watu Wakizoa Sukari Ajali ya Morogoro

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Katika hali ya isiyo ya kawaida watu Mamia ya watu wameonekana wakizoa Sukari iliyomwagika barabarani baada ya kutokea ajali Katika eneo la Lugono_ Melela barabara ya Morogoro-Iringa Leo Juni 12 ,2025.

Ajali hiyo imehusisha Lori la Mizigo lililobeba Shehena ya Sukari Lenye namba za usajili T.406 CZS na Basi kampuni ya Hai Lenye NBA za usajili T 523 EKM lililokuwa linatokea Mbeya kwenda Dar es salama.

Ajali hiyo imeua watu Tisa ambapo kamanda wa Jeshi la.polisi SACP.alex Mkama amethibitisha kutokea na kwamba wanamsaka dereva wa Lori aliyesababisha ajali hiyo.
Your browser is not able to display this video.

source: Millard Ayo
 
Hali ni mbaya jmn
 
Katika hali ya isiyo ya kawaida watu Mamia ya watu wameonekana wakizoa Sukari iliyomwagika barabarani baada ya kutokea ajali Katika eneo la Lugono_ Melela barabara ya Morogoro-Iringa Leo Juni 12 ,2025.
 
Wapiga kura wa CCM hao..Na wenyewe wakiangalia wanasema ewaaah!!!
 
Mamifumo yetu ndio yametufikisha huku!

Marehemu wapumzike kwa amani! Na majeruhi wapate uponyaji!
 
Ukisikia kazini kwangu Kuna kazi ndio hii
 
ACHA WAZOE WAKANYWE CHAI WASIFE NA NJAA ILI BAADAE WAKAIPIGIE KURA CCM
 
Kheri ya hao wanaozoa sukari, wale wa eneo karibu na hilo walizoa maziwa yalioyomwagika karibu na eneo hilo baada ya lori la Asas kupata ajali.
 
Wazoe wakale ili wawe watamu
Popo bawa akija ajisikie raha
 
Katika hali ya isiyo ya kawaida watu Mamia ya watu wameonekana wakizoa Sukari iliyomwagika barabarani baada ya kutokea ajali Katika eneo la Lugono_ Melela barabara ya Morogoro-Iringa Leo Juni 12 ,2025.
Jinsi Gani tunanjaa kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…