ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,316
- 50,523
Mwanzo nilidhani watu wa zamani na hasa wa miaka ya 1400 mpk 1900 walikuwa na akili sana kiasi nikawa kila nikifikia na nikijilinganisha nao naona uwezo wao ni maradufu ya uwezo wetu wa kiakili
Lakini nimekuja kujifunza kuwa kumbe elimu sio kipimo sahihi cha kujua akili ya mtu na ten hata ugunduzi waliofanya ni jambo la kawaida kabisa katika hatua za kukabiiana na changamoto na kwamba hata watu wa leo wangeweza kugundua yaleyale ingawaje waliofanya hayo wanasayansi wa nyuma sio ya kuyabeza.katika utafiti wangu usio wa kitaalam nimezingatia swala la kipindi na muda waliotumia kuyafanya hayo tunayoona makubwa na kwamba wao walikuwa wabunifu kama sisi. Akili ya mtu tunaijua pale ambapo anaeza kuendana na mabadiliko ya culture yanayokwenda kwa kasi.hivo nahitimisha kwa kuamin kuwa Watoto wetu kizazi kijacho watakuwa na akili kuzidi sisi na watagundua mengi makubwa. Huwa nataman nife kisha nifufuke miaka 500 nione dunia iipofikia na hasa Tanzania hii nchi.unakubali hoja yangu kuwa watu wa ki leo tuna akili zaidi ya waliopita