Watu wa Ubungo Postikodi interview imeendaje

Wametumia vigezo gani kuchuja ?.maana vigezo vyao vilikuwa general na baadhi vilikuwa blinded

Mfano utajuaje kama candidate simu yake ina kaa na chaji siku nzima ?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa wametumia vigezo vipi, hii itatoa picha halisi kwa wale walioomba halmashauri zingine wapate picha halisi jinsi zoezi linavyoenda .

Anyway no 24hrs/day full of darkness
 
Kwa kweli nimeshndwa kuelewa wametumia vgezo vipi, hii itatoa picha halisi kwa wale walioomba halmashauri zingine wapate picha halisi jinsi zoez linavyoenda .

Anyway no 24hrs/day full of darkness
Hahahaha
 
Na hyo link walitumiwa wapi whats app au...
Mbona kimya hamna mwana JF aliyeomnea kutokea Ubungo akaitwa au??
 
Duh watu hawana kazi asee hadi hiz nazo zina interview
 
Hizi ajira zimetolewa kishkaji sana. Kuna jamaa yuko kwenye system alinishauri kama nina ndugu yangu hata nisijisumbue kumwambia aombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…