Watu wa hivi tuwaeleweje??

Watu wa hivi tuwaeleweje??

divino

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
62
Reaction score
77
Mtu kukata tamaa ya kusoma chuo kikuu kwa hofu ya kuto pata ajira.
Mtu kukata tamaa ya kupenda kwa hofu ya kutendwa.
Mtu kuogopa kufanya biashara fulani kwa hofu ya kupata hasara.
Watu wa namna hii wangepewa option na Mungu ya kuzaliwa wangekataa kwa hofu ya kufa.
Nyingine mtaongeza!
 
Watu kama hao wana nyota ya umaskini wafuatilie vizuri ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom