watu wa Arusha roho mbaya

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,775
Reaction score
994
Inatisha
 

Attachments

  • IMG-20140602-WA0000.jpg
    80.5 KB · Views: 503
Malizia habari yako, picha tayari
 
Nini kilijiri?

BTW mikoa yote ipo hivyo.
 
Hiyo imetokea leo arusha Kuna mama alikuwa anaporwa jamaa alipokuwa akimsadia kauawa -Ooh ndugu RIP
 
Hiyo imetokea leo arusha Kuna mama alikuwa anaporwa jamaa alipokuwa akimsadia kauawa -Ooh ndugu RIP
polisi walikuwa wapi? na hao waporaji walikamatwa kweli? dah jamani!! pole wafiwa!!
 
...mbona duniani kote yapo matukio kama hayo,sio A town tu,so dont be biased kwenye heading yako...
 
Kumbuka pia majambazi yaliyofanya hivyo yaweza kuwa sio ya Arusha bali huko uliko wewe au sehemu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…