Watu na vipaji vyao

Linatengenezwa vile likiwa tayari kuliwa, kama ilivyo wali wa maua.
Kama ni kwa ajili ya kuliwa angetengeneza maumbo chochezi hasa ya vitu vinavyo run dunia.πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
She/he is so talented, watumike kusaidia tz ya viwanda vya vinyago
 
Huyu jamaa akiajiriwa serikalini kwa awamu tuliyo nayo lazima akaguliwe vyeti kuanzia cha kuzaliwa hadi chuo !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…