Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.Salamu,
Moja kwa moja;
1. Wanaovaa nguo za kijani au njano... to be more precise nguo za chama cha (C.C...). Abadani mtu akishavalia iwe t-shirt au shati lile siwezi kumsalimu shikamoo wala kumpisha Seat kwenye daladala regardless umri wake au status yake. Never!
2. Traffic Police! Hawa hata uniwekee mtutu siwezi kuwapa shikamoo yangu, never! Najua kuna mazuri wanafanya lakini bado siwezi kuwasalimia shikamoo wala kumpisha Seat kwenye daladala!
3. Wanawake wazee wanaotumia mikorogo na kuweka bleach kwenye nywele!
Ifike wakati watu waishi kulingana na umri wao. Ebo, mengine waachiwe vijana bwana!
4. Wale wenye vishati vimeandikwa TARUR.... hawa pia siwezi kuwasalimia shikamoo abadani. Usiniulize kwanini kwani sintakujibuni lakini ndo hivyo.
5. Povu linaruhusiwa!
Ni hayo tu kwa leo.
Baada ya kuvaa miwani ndio nimegundua kumbe hii ni picha ya mtu
Shikamoo salam ya kitumwa dada ,wenyewe wanakuambiaAhsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Ubaya ubaya hiSalamu,
Moja kwa moja;
1. Wanaovaa nguo za kijani au njano... to be more precise nguo za chama cha (C.C...). Abadani mtu akishavalia iwe t-shirt au shati lile siwezi kumsalimu shikamoo wala kumpisha Seat kwenye daladala regardless umri wake au status yake. Never!
2. Traffic Police! Hawa hata uniwekee mtutu siwezi kuwapa shikamoo yangu, never! Najua kuna mazuri wanafanya lakini bado siwezi kuwasalimia shikamoo wala kumpisha Seat kwenye daladala!
3. Wanawake wazee wanaotumia mikorogo na kuweka bleach kwenye nywele!
Ifike wakati watu waishi kulingana na umri wao. Ebo, mengine waachiwe vijana bwana!
4. Wale wenye vishati vimeandikwa TARUR.... hawa pia siwezi kuwasalimia shikamoo abadani. Usiniulize kwanini kwani sintakujibuni lakini ndo hivyo.
5. Povu linaruhusiwa!
Ni hayo tu kwa leo.
Hupendi kujitazamia bure neema za uumbaji?sitoi lift kwabinti alievaa kimini sketi
sipendi kitu kinacho wekwa wazi kinachofichwa ndio kizuriHupendi kujitazamia bure neema za uumbaji?
Umefanya matumizi mabovu kabisa ya neno "bwana mdogo"!JF imeweka neno "mkuu" kwa maana nzuri tu.Jizoeshe hivyo.Mie siyo mfanyakazi wa serikali yenu hii bwana mdogo